ROMA NAYE ATOA YA MOYONI KUHUSU DK.SHIKA

Mwanahiphop Anayekalisha Kipande Cha Tanga, Roma Amefunguka Kuwa Uwepo Wa Dk.Shika Kwenye Video Ya Kiba Mia Kumenogesha… Akiongea Na Clouds FM Roma Amesema kuwa “” Kuwepo Kwa Shika Kimefanya Kiwe kitu Kizuri Na Kupendeza Video Na Mapokezi Yake Kuwa Makubwa Mtaani”” Kiba_Mia Ni Ngoma Ambayo Imefanya Na Roma na Stamina Ambao Wanaunda Kitu Kinaitwa Rostam Humor Ndani Wanemshilikisha Mau Sama
>

No comments: