AUDIO: Balozi wa Tanzania Urusi Asimulia Walivyomsafirisha Dr. Luis Shika Kutoka Urusi

Kutana na Patrick Chokala, Balozi Mstaafu wa Tanzania nchini Urusi kuanzia mwaka 2002 mpaka 2008 ambapo kipindi hicho ndicho alichosema “Tajiri Mtata” Dr. Luis Shika aliishi Urusi.

 Mr. Chokala amethibitisha kwamba ni kweli akiwa Balozi nchini Russia Dr. Luis Shika alipata matatizo ya kutekwa na watu baada ya kuonekana kwamba ana pesa nyingi hivyo yeye kama Balozi wa Tanzania alimsaidia mpaka kumrudisha Tanzania.

Ameeleza ilivyokua kuanzia Dr. Shika alipoingia mikononi mwa hao Watekaji, bonyeza play hapa chini kumsikiliza mwanzo mwisho

VIDEO:

>

No comments: