BARNABA ATOKWA NA POVU ZITO SIKU YA KUZALIWA KWA MKE WAKE



@barnabaclassic - Wewe ni rafiki Yangu na ndugu yangu Uvungu wa moyo wangu unakushukuru kwa Kuwa daraja kwenye maisha yangu na 😊💡nashukuru nimevuka salama matatizo ni sehemu ya Kila mwanadamu Upendo wangu Juu Ya zawadi uliyonipatia Iko pale pale/STEVE🌺 Na Kitu kizuri ninakuheshimu Sana mbali Na mambo Yote Na Kitu kingine Furaha Yangu kuona unaendela Kutabasamu Hata kama ilo Tabasamu Silitengenezi Mimi lakini angali Unatabasamu Basi nafurahi kuona unafurahi Nakutakia maisha mena Yenye Baraka nawaombea heri Katika Familya Yako nakuombea Heri Na uwahi uwe shuuda wangu nami niwe shuuda Wako wa Kila jambo Heri Ya siku Yako ya kuzaliwa Mzazi mwenzangu mama Yake Steve @zuunamela mama watoto ! Damu Ya yesu ikuangazie Amina 🙏🏿
>

No comments: