BREAKING : HIACE YAGONGA BASI NA KUSABABISHA MAJERUHI
![IMG_0066](https://matukiotz.co.tz/wp-content/uploads/2017/11/IMG_0066-640x381.jpg)
Gari aina ya Toyota Hiace lenye namba za usajili T 928 BLQ ikiwa imeigonga Basi aina ya Scania linalo julikana kwa jina la Safari Njema katika Barabara ya Morogoro eneo la Kibamba kwa Mangi. inadaiwa kwamba Hiace hiyo ilihama njia na kulifata basi lilipokuwa likajiribu kulipita lori na kusababisha watu kadhaa waliokuwepo ndani ya Hiace hiyo kujeruhiwa.
![](https://matukiotz.co.tz/wp-content/uploads/2017/11/IMG_0070.jpg)
![](https://matukiotz.co.tz/wp-content/uploads/2017/11/IMG_0092.jpg)
![](https://matukiotz.co.tz/wp-content/uploads/2017/11/IMG_0105.jpg)
No comments: