DIAMOND PLATINUMZ NA RICK ROSS KUTIKISA DUNIA, MAANDALIZI YAPAMBA MOTO

Zimebaki siku 32 pekee kuufunga mwaka wa 2017 na yamebaki Masaa yasio zaidi 48 kwa soko la muziki kupokea kolaboya wimbo ‘WAKA WAKA’ ya Staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz na rapa Marekani Rick Ross.
>

No comments: