DK. SHIKA MZEE WA ITAPENDEZA AZIDI KUANIKA MAZITO,LEO ATOKA NA HILI TENA
Rehema Chalamila ‘Ray C’. DAKTARI Louis Shika ambaye alipata umaarufu mkubwa baada ya jaribio lake la kununua nyumba za mfanyabiashara Said Lugumi, ametoa mpya baada ya kudai kuwa anaguswa na muziki wa mkongwe Rehema Chalamila ‘Ray C’.Dk. Louis Shika Akipiga stori na Risasi Mchanganyiko juzikati, Dr Shika alisema katika Tanzania, hakuna msanii yeyote wa Bongo Fleva ambaye anamhusudu zaidi ya mwimbaji huyo anayesifika kwa kuimba na kucheza.
No comments: