DOGO JANJA AVAA KANZU KWENYE JUKWAA LA FIESTA, AKUMBUSHIA NDOA YAKE NA IRENE UWOYA

Msanii wa Bongo Fleva, Dogo Janja jana usiku alipanda kwenye jukwaa la Fiesta kwa namna yake kwani kabla ya kuingia kwenye stage ilianza kwanza kuoneshwa video ya sherehe za harusi yake na Irene Uwoya kama dakika mbili hivi na baadae aliingia kwenye jukwaa akiwa amevalia vazi aina ya Kanzu kitu ambacho ni nadra sana kukiona kwa wasanii wa muziki wa kidunia kuvaa vazi hilo kwenye majukwaa ya burudani.
Tazama video hapa chini uone jinsi alivyowakonda nyoyo mashabiki wake jukwaani.
>

No comments: