HABARI NZITO: JOHARI NAYE ASHINDWA KUVUMILIA,AMWAGA CHOZI,ATOAYA MOYONI KUHUSU MAREHEMU KANUMBA NA LULU


Baada ya Mwigizaji Elizabeth Michael Lulu kuhukumiwa miaka miwili jela November 13 2017, Mwigizaji Blandina Chagula ambae alikua Rafiki mkubwa wa Marehemu Steven Kanumba ametokwa machozi akihojiwa naKwenye Interview hii ilifika sehemu Johari akashindwa kujizuia kwa machungu aliyonayo na kusema yote anamwachia Mungu.
>

No comments: