Hamisamobetto Awashangaza Watanzania Soma Alichoandika Kuhusiana na Hukumu ya Lulu


Hamna aliyedhania kwamba Hamisa angeguswa na hukumu ya Lulu Leo. Watu walijua kuwa Hamisa na Lulu hawapendani kwa kuwa kulikuwa na tetesi kwamba Lulu alimpokonya Hamisa Bwana yake Majay.... Chakushangaza Hamisa ameumia na kufunguka Haya......

from @hamisamobetto - Ni Mapito Tu aunty ake Fansy πŸ™πŸΎπŸ’–
....... kinachoniuma Zaidi Ni how much
Fantasy amekuzoea πŸ™ŒπŸΎ.
.
We are both not ready for that change katika maisha yetu.
MUNGU akupe Nguvu Na kukusimamia love .πŸ™πŸΎ❤️
M/Mungu ampe Nguvu mama Yako katika kipindi hichi without forgetting Mdogo ako Iki ....sijui kama nitaweza kumuona bila kutokwa na machozi .😰
.
. πŸ™πŸΎ am not ready baby πŸ™πŸΎπŸ’–
>

No comments: