Mama Kanumba Ahudhulia Uzinduzi wa Filamu ya Hamisa Mobetto

MWANAMITINDO Hamisa Mobeto, usiku wa kuamkia leo amezindua rasmi Quality Centre jijini Dar muvi ambayo ameshiriki kwa kiasi kikubwa inayoitwa, Zero Player, ambayo ilishutiwa katika ukumbi wa Suncrest Cineplex.
Muvi hiyo ambayo imeshutiwa nchini, South Africa, na Mobeto ameigiza kama Mhusika mkuu huku akitumia jina la Jack, imeandaliwa na Allan Upamba, huku ikishirikisha wa sanii machachari kutoka Bongo, akiwemo Mobeto na Seth Bosco.
>

No comments: