Paul Makonda leo kwenye Meli ya Wachina inayotoa matibabu bure

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, leo November 20, 2017  amesimamia zoezi la upimaji wa afya na kupokea matibabu kwa wakazi wa Dar es Salaam kutoka kwa madaktari bingwa kutoka nchini China waliowasili nchini na meli yenye hospitali ndani yake jana.
       


>

No comments: