Polisi DSM yakamata watu zaidi 100 kituo cha mabasi Ubungo

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum DSM Lazaro Mambosasa amekutana na wanahabari na kutoa taarifa ya kuhusu kukamatwa kwa watu 106 kwenye kituo cha mabasi Ubungo kwa kujihusisha na matukio mbalimbali ya kiuhalifu ikiwemo wizi.
>

No comments: