Siku 10 Za Lulu Gerezani, Abadilika Na Kuwa Mwalimu!
Baada ya siku kumi kupita tangu msanii Elizabeth Michael Lulu aanze maisha mapya ya gerezani, maisha yake ya huko yameweza kuwa wazi ambapo tofauti na watu walivyotegemea kuwa huenda msanii huyu angeishi kwa shida na mawazo tele lakini amekuwa ni mtu ambaye anayafurahia maisha aliyopo.
Tizama Video kujua zaidi...............................

No comments: