• Home
  • About
  • Contact

HABARI KIGANJANI
    • HABARI
    • BONGO FLEVA
    • BONGO MOVIES
    • MAPENZI
    • SHILAWADU
    • UDAKU
    Home BONGOFLEVA MAPENZI SHILAWADU UDAKU "Wanawake wa Bongo Wanalazamisha Ndoa" - Dudu Baya

    "Wanawake wa Bongo Wanalazamisha Ndoa" - Dudu Baya

    by AJIRA TANZANIA November 07, 2017

    Msanii Dudu Baya amesema wanawake wa Tanzania wana kawaida ya kulazimisha ndoa, hasa wanapopata ujauzito hata kama ni kwa bahati mbaya.

    Dudu Baya ameyasema hayo alipokuwa akiongea kwenye Planet Bongo ya East africa Television, na kusema kwamba jambo hilo haliingii akilini kwani walipokutana hawakukubaliana kuona.

    "Mimi mwanamke wangu ni bapa, wanawake wa kitanzania ukishampa mimba ndo kashalazimisha ndoa, suala la ndoa ni makubaliano na kama ukimuacha ndo anaenda kukupiga misumari", amesema Dudu Baya.

    Pia Dudu Baya amesema kwa sasa anatamani angeoa, kwani tayari ana watoto ambao wengine ni wakubwa.

    EATV 
    >
    "Wanawake wa Bongo Wanalazamisha Ndoa" - Dudu Baya "Wanawake wa Bongo Wanalazamisha Ndoa" - Dudu Baya Reviewed by AJIRA TANZANIA on November 07, 2017 Rating: 5
    Tags : BONGOFLEVA MAPENZI SHILAWADU UDAKU
    SHARE THIS
    Share it Tweet Share it Share it Pin it

    BOFYA HAPA HABARI MPYA

    UDAKU

    No comments:

    Subscribe to: Post Comments ( Atom )

    Followers

    Facebook

    Popular

    • Faida 10 za kufanya mapenzi kipindi cha ujauzito
      Faida 10 za kufanya mapenzi kipindi cha ujauzito
      Mwanamke akiwa na mimba anaruhusiwa kushiriki tendo la ndoa hata kama anatarajia kuzaa kesho yake, hakuna tatizo lolote linalomzuia kufany...
    • Matokeo 6 katika mwili wako kama ukila ndizi 2 kila siku.
      Matokeo 6 katika mwili wako kama ukila ndizi 2 kila siku.
      Ndizi zina virutubisho vingi kama vile vitamini, nyuzinyuzi, protini, wanga, madini ya chuma na virutubisho vya sukari kama ‘Sucrose’ na ‘...
    • Wadada: Fahamu hizi dalili 9 kuwa wewe si ‘baby number one’ bali ni mchepuko tu!
      Wadada: Fahamu hizi dalili 9 kuwa wewe si ‘baby number one’ bali ni mchepuko tu!
      Wanaume wengi ni wataalam wa kuwa na uhusiano na wanawake wengi kwa wakati mmoja. Sasa kwa msichana unayesoma makala hii, hizi ni dalili 9...
    • PICHA ZA WEMA SEPETU AKIWA BAFUNI ZILIZOVUJA MTANDAONI MAPYA YAIBUKA,AKINUKISHA VIBAYA
        Muigizaji Wema Sepetu. Siku chache baada ya picha za muigizaji Wema Sepetu na bwana’ke mpya aitwaye Bakari Kila akiwa bafuni kuvuja, mr...
    • Jinsi ya kuwazuia marafiki wasingilie mahusaiano yenu ya kimapenzi
      Sio mbaya kwa marafiki wa karibu au ndugu na jamaa kufahamu kushirikiana nanyi katika mapenzi yenu kama vile wakati wa sherehe au msiba. Pi...
    • Harmorapa Nae Aamua Lazima Amuoe Wema Sepetu…Aanza Mikakati
      Msanii wa muziki wa kizazi kipya Harmorapa ambaye hakauki kwenye mitandao kwa vitendo vyake vya kiki, amesema na amini naye ipo siku atatim...
    • HIVI NDIVYO…SALUNI ZA MASAJI ZINAVYOVUNJA NDOA DAR ES SALAAM!
      MIONGONI mwa vilio vya wanandoa wengi jijini Dar, mbali na hali ngumu ya kimaisha inayosababishwa na vyuma kukaza, matatizo ya kiafya na ma...
    • Hizi Hapa Sifa 7 za Mwanamke wa Kuoa (Wife Material)
      Hizi Hapa Sifa 7 za Mwanamke wa Kuoa (Wife Material)
      Wapo wanawake ambao wao wanajua  kila siku ni Ijumaa , yaani hawatambui kwamba kuna Jumamosi na Jumapili pia . Watu hawa ni wale wanaodhan...
    • DIVA THE BOSS LADY ALIPUKA VIKALI,AWASHUKIA NA KUWAJIBU WANAOMSAKAMA
      Mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho, Clouds Fm, Diva amesema amechoshwa na maneno ya kuwa hawawezi kuwa na mtoto.Diva amesema muda ukifik...
    • SHILOLE SHISHI BABY AMJIBU NUH MZIWANA,SAKATA LA NDOA YAKE
      SHILOLE SHISHI BABY AMJIBU NUH MZIWANA,SAKATA LA NDOA YAKE
      Ulizani utanikomoa hiyo pic sio ya leo unaunga matukio ili kunigombanisha na mchumba wangu! Mashabaik wangu hiyo style ya nywele nadhan mna...
    Created By SoraTemplates & MyBloggerThemes