MASTAA wanaofanya vizuri katika filamu za Bongo, Wema Sepetu, Jokate Mwegelo na Jacqueline Wolper wameamua kushindana kwa kutupia picha mpya kwenye akaunti zao kwenye mtandao wa Instagram huku kila mmoja akimwagiwa sifa za kutosha kutoka kwa mashabiki wao. Wema Sepetu amefikisha wafuasi milioni 3.2, Wolper milioni 2.9 na Jokate Mwegelo ana wafuasi milioni 2.8. Wafuasi hao walisema kwamba Wema ndiye aliyeongoza akifuatiwa na Jacqueline na Jokate wa tatu. (HABARI: NICOLAUS TRAC na MTANDAO)
>
WEMA SEPETU,JOKATE KIDOTI NA JACK WOLPER KUMEKUCHA,MASHABIKI WAO WABAKI NJIA PANDA
Reviewed by AJIRA TANZANIA
on
November 28, 2017
Rating: 5
No comments: