Klabu ya Yanga leo jumamosi Novemba 25, 2017 imemsajili Festo Kayembe Kanku kwa mkataba wa miaka miwili.
Kanku ambae ni raia wa DR Congo anaemudu nafasi ya ulinzi wa kati amefanikiwa kusaini kandarasi hiyo baada ya majukumu kadhaa ya majaribio ndani ya klabu hiyo chini ya kocha George Lwandamina.
>
No comments: