BREAKING : AJALI MBAYA YA MAGARI 10 YAUWA WATU 20 NA KUJERUHI WENGINE KENYA

KENYA: Takribani watu 20 wamefariki kwenye ajali iliyohusisha magari 10 kwenye barabara kuu ya Nakuru-Eldoret – Chanzo cha ajali ni kupoteza uelekeo kwa lori lililokuwa linakimbizwa na maafisa usalama wa barabarani na kugonga magari manne yaliyokuwa yanakuja upande wake.

>

No comments: