DIAMOND PLATINUMZ AZUA BALAA KUBWAA!! KWENYE PARTY YA HARUSI YA DJ ROMMY JONES..!!
Hii sasa ni kutoka kwa Dj wa Diamond Platinumz Rommy Jones ambaye amefunga ndoa na mrembo mkaliii, Diamond Platinumz na Babu Tale wafanya kufuru kubwa ndoa hii Tazama video fupi hapa chini uone balaa la hawa jamaa kwa ndugu au waweza sema mwanafamilia mwenzao wa WCB kama wenyewe wanavyojiita kila siku kuwa wao ni familia moja ndugu wa damu.
Moses Iyobo naye hakuwa nyuma na Mrembo wake Aunt Ezekiel watokelezea vibaya mno kama ndoa ni yao kumbe wapambe tuu!!
>
No comments: