DIAMOND PLATINUMZ NA YOUNG KILLER KUMEKUCHA,KILLER AAMUA KUANIKA KILA KITU,ATA YA MOYONI
Msanii wa muziki Bongo, Young Killer amefunguka kuhusu ujio wa kolabo yake na Young Killer. Rapper huyo ambaye anatamba na ngoma ‘Toto Tundu’ ameiambia FNL ya EATV kuwa ngoma hiyo itatoka pindi albam ya Diamond itakapotoka kwa sababu imejuishwa huko. “I think inatoka katika albam yake ya A Boy From Tandale ambayo nahisi inatoka mwezi huu wa 12, so katika list nimeingali pale nadhani ipo namba nne” amesema Young Killer. Alipoulizwa iwapo ngoma hiyo itatoka kama yake official, alijibu “chochote kinaweza kutokea kwa sababu ni ngoma kali na watu inabidi waisikilize”. Hii ni ngoma ya pili kwa Young Killer kufanya kolabo na msanii wa WCB baada ya kufanya na Harmonize.
>
No comments: