DJ WA DIAMOND PLATINUMZ AIBUKA NA JIPYA BAADA YA HARUSI YAKE,AYASEMA HAYA LIVE

Dj wa Msanii Diamond Platnumz, Romy Jones ‘RJ’ amethibitisha kuwa ni wasaa mwingine wake kuonesha sura nyingine ya vipaji alivyo navyo mbali na kuwa Dj na msanii mwenye uwezo wa kuandika na muziki wa Rap ..@romyjons ni Muigizaji pia. . . Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Romy Jones ametoa taarifa ya ujio wa tamthiria aliyoshiriki inayokwenda kwa jina la KAPUNI , stay tune.
>

No comments: