IRENE UWOYA NA DOGO JANJA KUMEKUCHA TENA,JANJA AYASEMA HAYA KWA MARA YA KWANZA,AGUSIA KUGOMBANA
Sigombani na mke wangu kisa jirani kasema nigombane nae!!! Ntakuja nae Maisha club leo kumuimbia wimbo mzuriiii wa mapenzi na msisahau leo ikifika saa sita ni bday yake so karibuni tumuimbie pamoja!!!
>
No comments: