IRENE UWOYA NA DOGO JANJA,MAMBO YAZIDI KUIBUKA,PICHA ILIYOIBUA UTATA UFAFANUZI WATOLEWA UPYA
Weekend iliyomalizika kulisambaa mtandaoni picha ya kimahaba ya muigizaji Irene Uwoya akiwa na mtangazaji Tbway kitandani, picha ambayo imechukua headlines na AyoTV iliwasiliana na Tbway ameeleza kuwa picha hiyo ni movie.
>
No comments: