MAAMUZI YA MAMA WEMA BAADA YA MWANAYE KURUDI CCM, AMTOLEA POVU STEVE (VIDEO)

IKIWA ni takribani saa 15 tangu mwanaye ambaye ni Queen wa Filamu za Bongo na aliyewahi kuwa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu kutangaza kuhama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kurudi Chama Cha Mapinduzi (CCM), mama wa staa huyo, Mariam Sepetu amefungukia kuhusu uamuzi huo wa mwanaye na kusisitiza kwamba yeye bado ni mwanachama wa Chadema.

TAZAMA VIDEO MAMA WEMA AKIFUNGUKA

Stori zinazo husiana na ulizosoma

>

No comments: