SNURA MAJANGA AMSHUKIA VIKALI FAIZA ALLY,AMPA MAKAVU LIVE

Post ya Faiza Ally Yachafua hali ya Hewa instagram.
Ni picha aliyopost akijipongeza kwa miezi toka ajifungue. Picha umeibua maneno mengi mitandao.
Moja ya wakoguswa na mi msanii Snura Mushi ambaye ameshindwa kuvumilia.
Kupitia Instagram yake ametoa povu lake kwa Faiza. Soma hapa chini alichokiandika
By #snuramushi – Najua wengine mtasema mbona nayy hana adabu ila ukichunguza utagundua sehemu yangu ya kiuno pekee ndio yenye kuniponza sinaga mambo mengine ya ajabu na sitokuja kua nayo kamwe ……….. Faiza ndugu yangu hii umepitiliza TUSITIRI WANAWAKE WENZIO
Mwanamke anapotaka kujifungua hata kwa ghafla barabarani zinatafutwa nguo kuziba…. Leba ni siri yetu kina mama kuna mengi tunafanya kule hayastahili kutoka nje niwengi wanashoot mpaka video ila zinabaki kua kumbukumbu zao na sio kuweka hadharani kila mtu akaona inakuaga vipi hii niaibu yetu sote tunadhalilika na kupoteza heshima ya mama na tutadharauliwa sana kwa mtindo huu… Hata ndugu zetu wakija hua hawaruhusiwi kuingia leba ni manesi na madaktari tu na kama private basi ataruhusiwa mumeo hizi ndio tamaduni zetu tusijikatae sana na kuutaka uzungu mengine tuwaachie wenyewe sisi tutabaki kua sis
>

No comments: