VIDEO: Harusi ya Dj wa Diamond Platnumz Rommy Jones

Rommy Jones ni Dj wa Mwimbaji Staa wa Bongofleva Diamond Platnumz ambapo tarehe yake nyingine ya kukumbuka maishani ni December 1 2017 ambapo amefunga ndoa na Mpenzi wake walieishi kwa muda mrefu pamoja, tazama hii video hapa chini kujionea.
>

No comments: