BEN POL HAKAMATIKI AONYESHA MAPENZI LAIVU NA EBITOKE HAKIKA SASA AFANYA KWELI KWENYE FIESTA DSM!!

Ktika vitu vya kuvutia katika msimu huu wa Fiesta ni kwamba hakuna msanii yeyote wa kigeni wote ni wazawa, na hakika wamepagawisha ile mbayaa, Ali Kiba alisimama pale kati amaedhihirisha ubora wake na Ufalme wake, Pasipo kuwa na mshindani wake Diamond Platinumz kama watu walivyozoea kuwashindanisha kila kukicha ambaye Diamond Alikuwa na Shows zake London na Dubai kipindi hiki. Vanessa Mdee na Jux Nao , Ben Pol na Ebitoke wamerudiana Rasmi na kuonyesha Mahaba niue Kwenye Jukwaa la Fiesta Hii….. >

No comments: