DIAMOND PLATINUMZ AWEKA BAYANA UTOFAUTI MKUBWA KATI YA WEMA SEPETU NA ZAR BOSS LADY, AMBAPO WATU WENGI SI RAHISI KUJUA…!!

Katika kitu kigumu sana katika maisha ya kawaida ni kufanya Ulinganishaji na kutofautisha watu achana kwa maumbile bali ni kwa Tabia na vitu vya ndani ambavyo si rahisi kuvijua kwa haraka, kwa nje mtu anaweza akadanganya lakini uki kaa naye utaujua ukweli wa Tabia zake halisi. Sasa Diamond Amemsifia Zari kuwa anamapenzi ya Dhati kwa Kuwa Kila Starehe Ameshafanya Ila Wema Bado Anatamaa yA Vitu. >

No comments: