BEN POL NA EBITOKE WAZIDI KUNOGESHA MAMBO,WAFIKIA HAPA SASA
![Ben-Pol](https://matukiotz.co.tz/wp-content/uploads/2017/11/Ben-Pol-600x381.jpg)
Mchekeshaji maarufu kupitia mitandao ya kijamii, Ebitoke, jana aliibuka stejini kumfuata Ben Pol ambaye awali alionyesha hisia za kumtaka kimapenzi. Alipopanda stejini, alimweleza Ben Pol kwamba alikuwa anampenda na
ataendelea kumpenda na aliwataka Watanzania wamwelewe hivyo, jambo ambalo lilizua shangwe kutoka kwa mashabiki.
(PICHA: MUSA MATEJA/GPL)
>
![](https://matukiotz.co.tz/wp-content/uploads/2017/11/Ben-Pol-1.jpg)
(PICHA: MUSA MATEJA/GPL)
No comments: