Ktika vitu vya kuvutia katika msimu huu wa Fiesta ni kwamba hakuna msanii yeyote wa kigeni wote ni wazawa, na hakika wamepagawisha ile mbayaa, Ali Kiba alisimama pale kati amaedhihirisha ubora wake na Ufalme wake, Pasipo kuwa na mshindani wake Diamond Platinumz kama watu walivyozoea kuwashindanisha kila kukicha ambaye Diamond Alikuwa na Shows zake London na Dubai kipindi hiki.
>
FIESTA BILA DIAMOND YAFANA, SIRI NZITO IMEFICHUKO SABABU ZA DIAMOND PLATINUMZ KUKOSA FIESTA HII..!!
Reviewed by AJIRA TANZANIA
on
November 25, 2017
Rating: 5
ukweli ni kwamba Diamond hakuweza kupanda jukwaa lolote la fiesta mwaka huu coz official host ni Tigo na Diamond hawezi kupanda coz yeye ni balozi wa vodacom Tanzania na si vinginevyo.Msiweke sababu zisizo na kichwa wala mguu!zama kina uujue ukwel ni hayo tu

ReplyDelete