Ktika vitu vya kuvutia katika msimu huu wa Fiesta ni kwamba hakuna msanii yeyote wa kigeni wote ni wazawa, na hakika wamepagawisha ile mbayaa, Ali Kiba alisimama pale kati amaedhihirisha ubora wake na Ufalme wake, Pasipo kuwa na mshindani wake Diamond Platinumz kama watu walivyozoea kuwashindanisha kila kukicha ambaye Diamond Alikuwa na Shows zake London na Dubai kipindi hiki.
>
BALAA!! ALI KIBA AFUNIKA MBAYAA!! TIGO FIESTA BILA DIAMOND PLATINUMZ…!!
Reviewed by AJIRA TANZANIA
on
November 26, 2017
Rating: 5
No comments: