HARMONIZE AFUNGUKA KUHUSU MTAMBO MPYA WA DIAMOND PLATINUMZ
M/MUNGU NI MKUBWA NA WAAJABU SANA KILA KUKICHA ANAZIDI KUTUFUNGULIA NJIA KATIKA SANAA ZETU MIKA MIWILI ILIYOPITA ILIKUWA UKITAKA KUSHOOT VIDEO YAKO KUPATA CAMERA KAMA HII ILIKUWA MPAKA UPANDE NDEGE UENDE SOUTH AFRICA AU UK …..!!! LAKINI SASA HIVI TUNAYO HAPA HAPA NYUMBANI KWA NYERERE YANI TUSHINDWE WENYEWE TU……!!!!! HILI NI JAMBO LA KUMSHUKURU M/MUNGU NAAMINI VIDEO ZETU ZITAZIDI KUWA SAFI NA BORA ZAIDI……!!!! SIO CAMERA PEKE BALI NA VIFAA KIBAO
>
No comments: