KAULI YA HAMISA MOBETTO BAADA YA WIMBO MPYA WA DIAMOND PLATINUMZ

Hamisa Mobetto baada kuusikia wimbo wa ‘Niache’ aliamua kupost kipande kidogo cha wimbo huo kupitia mtandao wa snapchat, jambo ambalo mashabiki wamesema linaloonesha kuwa Hamisa amemjibu Diamond kuhusu kile alichoimba kwenye wimbo huo.
>

No comments: