USAJILI MATATA : WASAJILI WACHEZAJI WATANO HATARI TAZAMA HAPA MPANGO MZIMA
Lipuli
FC itaongeza sura mpya tano katika dirisha dogo la usajili
linaloendelea ikiwa ni mkakati wa kuimarisha kikosi chake kinachoshiriki
Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu.
Katika
kundi hilo la wachezaji watano, idadi kubwa itakuwa ni wale wanaocheza
nafasi ya ushambuliaji kwa lengo ambayo imeonyesha kuwa butu
kulinganisha na nafasi nyingine ambazo zinaonekana kuimarika na kufanya
vizuri.
Kocha
wa Lipuli FC, Seleman Matola alisema kama una kumbukumbu vizuri,
utakubaliana na mimi kwamba Lipuli haikufanya usajili mkubwa wakati wa
dirisha kubwa na ilibidi tuharakishe ili tuanze maandalizi kwa ajili ya
ligi kwa sababu muda ulikuwa umeshaenda.
Nadhani
tunahitaji kupata wachezaji kama watano hivi wa maana hasa wanaocheza
nafasi ya ushambuliaji kwani ndio inayoonekana kutofanya vizuri.
“Ukiangalia
msimamo wa ligi utaona tumefunga mabao nane lakini tumefungwa idadi
kama hiyo hivyo inatoa picha kwamba tunatakiwa tuimarishe kwenye
ulinzi," alisema Matola.Kuona majina ya wasajili bonyeza <<HAPA>>
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
No comments: