Kwanini Wanawake Wengi 'Waliochelewa' Kuolewa Wameamua Kuokoka ?
Ukiongea nao na kuomba appointment utasikia, 'siku hiyo tutakuwepo kanisani kwenye maombi'.
Sijui hapo kuna siri gani nyuma ya pazia. Wameokoka kwa kuwa desperate au wameokoka kwa kuvutia wachumba au ni kweli wameamua kuyatoa maisha yao kwa Bwana ? Download App Yetu >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa ! >
No comments: