Mtanzania anaeishi Urusi kaongea anachojua kuhusu Dr. Shika (+audio)

Kila Mtanzania aliesikia Dr. Luis Shika akijieleza kwamba yeye sio Mbabaishaji na kwamba alisoma, kuishi na kumiliki Kampuni kubwa Urusi, ametamani kupata angalau uthibitisho wowote kama ni kweli Daktari huyu.
AyoTV  zimempata Mtanzania ambae amekua akisoma na kuishi Russia kwa miaka mingi, anasema alichosema Dr. Luis kuhusu maisha yake ya Russia na kampuni yake ni kweli… bonyeza play hapa chini kumsikiliza mwanzo hadi mwisho
VIDEO: DR. LUIS AONGEA BAADA YA KUTOKA POLISI, “WHAT DO THEY MEAN”
DR. LUIS ASEMA SIO MBABAISHAJI…. BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA
>

No comments: