Video ya Dr. Cheni alivyofunguka kuhusu Lulu “naamini Lulu hajatenda”

Mwigizaji Mkongwe wa Tanzania maarufu kwa jina la Dr. Cheni ambae ni mtu wa karibu na familia ya Mwigizaji Lulu aliehukumiwa miaka miwili jela, amefunguka kuhusu hukumu ya Lulu pamoja na mengine, mtazame kwenye hii video hapa chini alipofunguka mwanzo mwisho
>

No comments: