SANCHI AJIBU SAKATA LA DK. SHIKA MZEE ITEPENDEZA,ATOA YA MOYONI
MWANAMITINDO maarufu Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa maneno yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa ana mpango wa kumsaka Dk. Louis Shika ‘aduu’ naye ni uzushi tu, kwani mzee huyo anamuona kama baba yake mzazi. Dk. Louis Shika Akizungumza na gazeti hili, Sanchi alisema hata apewe mabilioniya fedha kamwe hawezi kubanjuka na Dk. Shika mwenye umri unaoendana na wa mzazi wake. “Hakuna kitu kinachoniuma kama watu wanavyosambaza kuwa mimi namtamani sana Dk. Shika, yule ni kama baba yangu kabisa, naanzaje kumvulia nguo? Si nitapata laana bure,” alisema Sanchi.
>
No comments: