VIFO VYA MUME WA ZARI THE BOSS LADY NA IRENE UWOYA WANIKA TABIA YA WABONGO,UWOYA APONDWA KWA KULIA ZARI NAYE

Ama kweli kuishi kwingi kuona mengi !! Baadhi ya watu sasa mitandaoni wanamshambulia Uwoya kwanini anajifanya kumlilia Ndikumana baada ya kifo chake !?….lakini ni watu hao hao walimshambulia Sana Zari kwanini hakulia au kuonekana usoni kuumizwa na misiba ya Ivan na Mama yake, walisema Zari ni heartless na sasa wanasema Uwoya ni msaka Kiki !!?? .
Baada ya kifo cha Geogy Tyson staa wa filamu nchini Monalisa nae alishambuliwa mitandaoni na baadhi ya watu walimwambia anajifanya kulia kwa mtu ambaye walishaachana ni unafiki ! , Monalisa aliwajibu kwa kusema msipende Sana kuingilia maisha ya mtu, Tyson ni baba mtoto wangu na tuliishi pamoja na ku-share kitanda.
.
Uwoya asingeoneka mtandaoni kulia pia Ingekuwa balaa ! Simply Baadhi ya binadamu hawaridhiki kwa lolote ukiwasikiliza Sana hutaona thamani ya maisha ni bora kufanya yako tu kwa kuwapuuza maana binadamu wengine wanajifanya kujua hadi nafasi ya mtu Mwingine ilivyo !
>

No comments: