Baba mzazi wa staa kutokea Bongoflevani Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz, Mzee Abdul amezungumza kuhusu kuwahi kukutana na Zari ambaye ni mkwe wake aliyezaa na mtoto wake Diamond ambapo amesema hajawahi kuzungumza na ZARI toka amemsikia, ila Wema Sepetu na Hamisa Mobetto ameshawahi kuongea nao. Baba wa Diamond amesema kwamba aliwai kuzungumza na Wema Sepetu kwani alishawai kwenda kumtembelea kipindi alipokuwa na Diamond lakini pia amezungumza na Hamissa kipindi alipoenda kuhudhuria kwenye 40 ya mjukuu wake kwa Hamissa. >
No comments: