BREAKING: Kaka kamtolea Dada yake “FIGO” Dsm, upasuaji wa kwanza Muhimbili

Pale ambapo dada mtu amesumbuliwa kwa mwaka mmoja na figo alafu kaka mtu akajitolea figo yake moja ili amuokoe Dada yake.
Baada ya kumshukuru Mungu kwa kufanikisha hili, ziko pande mbili za kupongeza hapa ambapo ya kwanza ni Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambayo imvunja rekodi na kwa mara ya kwanza imefanikiwa kufanya upasuaji na kumuwekea Binadamu Figo.
Hii ni rekodi ya nguvu kwa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa sababu licha ya kuweka historia lakini pia itasaidia kuokoa mamilioni ya Watanzania waliokua wakisafiri kwenda nje ya nchi kutibiwa Ini na kutumia sio chini ya Milioni 80……… tazama hii video hapa chini kujionea mwanzo mwisho
>

No comments: