Ameandika haya Meneja wa Diamond Sallam Sk “Tunaomba Msamaha Wimbo wa #Waka ulitakuwa kutoka siku ya leo kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu kwahiyo hautaweza kutoka leo lakini muda sio mrefu tutawajuza!! Sorry for any inconvenience” >
No comments: