Mbunge Prof. Jay Aangua Kilio Hadharani, Baada ya Mauaji yaliyofanywa Jimboni Kwake
Mbunge wa Mikumi Joseph Haule ameangua kilio hadharani kwenye mkutano aliokuwa amefanya na wananchi wa kijiji cha Ruhembe wilayani Kilosa na kuwaomba Waziri wa mambo ya ndani na waziri mkuu wachukue hatua kabla ya wananchi kujichukulia hatuaWananchi hao pia waligoma kuzika mwili wa mtu huyo aliyejulikana kwa jina la Salim Said Mheka mwenye umri wa miaka 17 aliyeuawa na polisi wa kitengo maalumu kwa madai kuwa alikuwa ni mhalifu wa Kibiti
Kijana huyo alimaliza kidato cha nne katika shule ya sekondari Ruhembe,
Kamanda wa polisi mkoani Morogoro amesema kijana huyo alikuwa anajihusisha na ugaidi
>
No comments: