EXCLUSIVE: Dogo Janja kafunguka kuhusu picha za IRENE UWOYA (+video)
Baada ya kusambaa kwa Picha za Muigizaji Irene Uwoya ambaye ni mke wa Dogo Janja, picha ambazo zinamuonesha Uwoya akiwa kitandani na mwanaume mwingine, Dogo Janja amezungumza kuhusu hilo pamoja na kwa nini Uwoya hakutokea kwenye show ya Dogo Janja kama Janjaro alivyoahidi..
Dogo Janja alipost kwenye Instagram baada ya kutrend picha za mke wake Irene Uwoya ambapo Dongo Janja amesema hawezi kugombana na mke wake kwa maneno ya jirani na istoshe angeeenda na uwoya kwenye show hiyo kitu ambacho hakikutokea.
Bonyeza PLAY hapa chini Kusikiliza majibu ya DOGO JANJA..
DOGO JANJA baada ya kusema ataenda na UWOYA Maisha Club
No comments: