Belle 9 kafunguka baada ya picha zake za harusi kusambaa

December 17,2017 picha za msanii Belle 9 zilisambaa katika mitandao ya kijamii zikimuonyesha amefunga ndoa ya siri ambayo wengi waliamini kwamba ni kiki au inawezekana ikawa ndio project yake mpya.
 Ayo tv ilimtafuta Belle 9 kama ilivyoahidi na kumuuliza kama ni kweli amefunga ndoa au ni video mpya ya wimbo wake kama inavyodaiwa na baadhi ya mashabiki kwenye mitandao ya kijamii.
“Ofcourse ni kweli, asilimia 80 ya maisha yangu matukio mengi yanayotokea ni kweli, sina drama lakini hii ishu ya kuoa ni kweli mimi napenda privacy nashukuru Mwenyezi Mungu harusi yangu imeisha salama”>>>Belle 9
Ilikupita hii ya Belle 9 kufunga ndoa ya siri?
>

No comments: