Hamisa Mobetto Kufanya Part Siku Moja na Zari Uganda

Hamisa Mobetto Kufanya Part Siku Moja na Zari Uganda
Boss lady ambaye ni mpenzi na mama watoto wake Diamond Platnumz ametangaza kuwa siku ya December 21,2017 atafanya party yake ya “Zari All White Party” nchini Uganda ambapo ni desturi yake kufanya party hii kila mwaka.

Kupitia  instagram account ya Hamisa Mobetto ambaye pia ni mzazi mwenzake Diamond Platnumz ameahidi pia kufanya party nchini Uganda Decemeber 21,2017 siku moja na Zari the boss lady kasoro venue tu.

Baada ya Hamisa Mobetto kupost video katika ukurasa wake wa instagram na kuandika caption inayosomeka “Hakuna unachoweza badilisha
Kabiliana nalo..! 💪🏾 #InmyShemsvoice 🤣”


Baadhi ya mashabiki wakahusisha caption hiyo kuwa ni dongo kwa Zari kwani wote kwa pamoja wanafanya party siku moja na nchi moja na kudaiwa kuwa wawili hao hawako katika maelewano mazuri toka Zari agundue kuwa Hamisa amezaa na Diamond Platnumz. 
>

No comments: