Wanaume Acheni Kuzama Chumvini, Nafikiri Sio Salama. Hata Wao Wanawake Wanajua Hilo....

Habari.
Hivi vitu vya kuiga iga kwa kweli sio vizuri. Hili suala la kuzama chumvini kwa mwanamke, linahitaji USAFI wa hali ya juu toka kwa mwanamke.
Huko chini bila shaka sio salama, hata wao wanawake nafikiri wanajua hili ila hawataki kutuambia wanaume.

Ukitaka ujue sio salama, ukiwa ktk hiyo shughuli, baada ya kulamba lamba huko, jaribu kuja kumpa french kiss (mabusu moto moto ya kulambana ulimi) huyo mwanamke wakati huo, utaona anakwepa kwepa lips zako na mdomo wako sababu anajua zimetoka sehemu ambayo sio. WANAWAKE WENGI HAWATAKI MPIGANE MABUSU BAADA YA MWANAUME KUZAMA CHINI, sababu wanajua.
Hivyo wanaume tuwe makini, ikiwezekana acha kabisa hii kitu. 
>

No comments: