JPM ameshinda kwa kura zote kuwa Mwenyekiti mpya wa CCM Taifa

Leo December 12, 2017 kwenye Uchaguzi wa Halmashauri Kuu ya CCM, Rais John Magufuli amepita kwa kura zote kuwa Mwenyekiti mpya wa CCM kuongoza hadi mwaka 2022.
Pamoja naye ni Makamu Wenyeviti wawili, ambao ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mohammed Shein (Zanzibar) na Philip Mangula (Bara) ambao wamepita kwa kura nyingi.
“Mimi kama Mwenyekiti wa CCM mmenipa heshima kubwa sana, ninashindwa kupata maneno ya kueleza, lakini ninachoweza kuwaahidi ni kwamba nitakuwa kiongozi mwaminifu.” – Rais Magufuli

Hotuba ya JPM katika mkutano mkuu wa CCM Dodoma
>

No comments: