POLEPOLE : CCM HAINA TAARIFA ZA WEMA SEPETU KURUDI CCM



Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Hamphrey Polepole amesema kuwa chama hicho hakina taarifa yoyote ya kurudi kwa Wema Sepetu.

Akijibu swali kuhusu taarifa kuwa Wema amerudi CCM akitokea Chadema, Polepole amesema CCM ina utaratibu wa mwanachama kujiunga na chama hicho.

"Kupitia utaratibu na muundo wetu wa chama kwenye shina kisha ataandikwa kwenye orodha ya wanachama kwenye tawi ambalo yeye ni mkaazi," amesema.
>

No comments: