ZARI THE BOSS LADY AFANYA MAAMUZI MAGUMU,AKINUKISHA VIBAYA DRAMA ZA HAMISA KAMPALA,ATOA YA MOYONI




Ishu kubwa inayoendelea kwa sasa Uganda nikuhusu show mbili tofauti ambazo zinafanywa na wazazi wenza wa staa Diamond Platnumz, Zari the boss lady na Hamisa Mobetto ambao wote wanashindanishwa kutokana na show zao kuwa siku moja. Leo December 21,2017 Kupitia mtandao wa snapchat wa zari the boss lady amepost video clip ikisema kuwa ameamua kucancel interview na kituo cha redio nchini humo kwa sababu wanamuuliza maswali mengi binafsi na hayuko tayari kwa drama. Party ya Zari na Party ya Hamisa zote zinafanyika leo December 21,2017 Kampala Uganda lakini venue tu ndio tofauti kitu ambacho kinatafsiriwa kama ni mashindano kati ya Zari na Hamisa baada ya Zari kutafsiri maswali anayoulizwa ni kama drama.
>

No comments: