BABA YAKE DIAMOND PLATINUMZ AZIDI KUFUNGUKA,AMUIBUKIA TENA QUEEN DARLEEN,AMPA MANENO HAYA LIVE

Abdul Juma ni baba mzazi wa mkali wa Bongofleva Diamond Platnumz na dada yake Queen Darleen amezungumza kuhusu maendeleo ya watoto wake kimuziki kwa mwaka 2017 amesema kwamba anafurahia sana maendeleo yao ya kimuziki ila anatamani sana kumuona Queen Darleen akiacha mambo ya ajabu ili afike mbali kimuziki.. Mzee Abdul amesema kwamba Queen Darleen alishaanza kupotea kwenye Game ya muziki lakini toka ameanza kufanya kazi na kaka yake Diamond kaanza kufanya vizuri kitu kikubwa anachokiomba awe na nidhamu kwa mkubwa na mdogo ili afanikiwe zaidi.
>

No comments: